Uchambuzi wa Riwaya ya Kiu Kwa Kutumia Nadharia ya Saikolojia Changanuzi. Issue 3 (2nd October 2019)
- Record Type:
- Journal Article
- Title:
- Uchambuzi wa Riwaya ya Kiu Kwa Kutumia Nadharia ya Saikolojia Changanuzi. Issue 3 (2nd October 2019)
- Main Title:
- Uchambuzi wa Riwaya ya Kiu Kwa Kutumia Nadharia ya Saikolojia Changanuzi
- Authors:
- Mbarouk, Saade Said
- Abstract:
- IKISIRI: Makala haya yanaonesha nadharia ya Saikolojia Changanuzi na namna inavyotumika katika uchambuzi wa riwaya ya Kiu . Makala itachunguza kwa makini mbinu za kisaikolojia za wahusika kama, uzungumzi nafsi, daiolojia ya ndani na ndoto ambavyo vinaonesha hali zao za ndani na namna wahusika hao wanavyotumia uhusika wao kuibua dhamira mbalimbali katika riwaya hiyo. Pia makala itaangalia mbinu za uwasilishaji wa mawazo na usimulizi zinavyoweza kutumika katika kumuangalia mwandishi namna ung'amuzibwete (unconsciousness) na mtazamo wake kuhusu maisha na matendo katika jamii yake. Vilevile itamuangalia msomaji na mhakiki anavyoweza kuathirika na matini aliyoisoma. Mawazo hayo wanaelezwa kwa kutumia hali ya kimaadili na mitazamo ya maisha yanayotokana na matendo ya kinafsi.
- Is Part Of:
- Eastern African literary and cultural studies. Volume 5:Issue 3/4(2019)
- Journal:
- Eastern African literary and cultural studies
- Issue:
- Volume 5:Issue 3/4(2019)
- Issue Display:
- Volume 5, Issue 3/4 (2019)
- Year:
- 2019
- Volume:
- 5
- Issue:
- 3/4
- Issue Sort Value:
- 2019-0005-NaN-0000
- Page Start:
- 214
- Page End:
- 222
- Publication Date:
- 2019-10-02
- Subjects:
- African literature -- Periodicals
Arts -- Africa, Eastern -- Periodicals
Arts -- Africa, East -- Periodicals
Africa, Eastern -- Intellectual life -- Periodicals
Africa, East -- Intellectual life -- Periodicals
Africa, Eastern -- Civilization -- Periodicals
Africa, East -- Civilization -- Periodicals
967.6005 - Journal URLs:
- http://www.tandfonline.com/toc/real20/current ↗
http://www.tandfonline.com/ ↗ - DOI:
- 10.1080/23277408.2018.1540127 ↗
- Languages:
- English
- ISSNs:
- 2327-7408
- Deposit Type:
- Legaldeposit
- View Content:
- Available online (eLD content is only available in our Reading Rooms) ↗
- Physical Locations:
- British Library DSC - BLDSS-3PM
British Library HMNTS - ELD Digital store - Ingest File:
- 12333.xml